Them Mushrooms - Jambo Bwana
Sama jambo
Jambo jambo bwana jambo bwana
Habari gani
Habari gani
Mzuri sana
Jambo jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya Africa
Jambo jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya Africa
Sama jambo
Jambo jambo bwana jambo bwana
Habari gani
Habari gani
Mzuri sana
Jambo jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya Africa
Jambo jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya Africa
Leo tufurahi hakuna matata
Reggae babu kubwa hakuna matuta
Burudani sali hakuna matuta
Aah tucheze sote hakuna matuta
Kiswahili ndlo lugha yetu ya africa
Upende usipende utapenda kwa hakika
Michael jackson kaimba kiswahili
Lionel richie kamfuata ni wa pili
Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani
Maisha Africa yatakua na thamani
Tuimbe tucheze tuseme kiswahili
Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata
Hakuna matata
Kiswahili ndlo lugha yetu ya Africa
Upende usipende utapenda kwa hakika
Hakuna matata
Michael jackson kaimba kiswahili
Lionel richie kamfuata ni wa pili
Hakuna matata
Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani
Maisha Africa yatakua na thamani
Hakuna matata
Tuimbe tucheze tuseme kiswahili
Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell
Hakuna matata
Kiswahili ndlo lugha yetu ya Africa
Upende usipende utapenda kwa hakika
Hakuna matata
Michael jackson kaimba kiswahili
Lionel richie kamfuata ni wa pili