Rafiki yangu alikuja nyumbani,
Kunielezea shida Fulani,
Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini,
Mke wake amemutoroka,
Rafiki zake wanamcheka,
Shida amepata nyingi amechoka,
Dunia anajuta.
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Maisha mwendo ni pole
Ukipata shida leo usikonde
Wengi wako kama wewe usijali
Acha kulia ni Maisha makali
Tazama kwanza uone kesho
Usikonde uwape kichekesho
Maisha itakuwa na matatizo
Uombe mungu
Atakupa uwezo
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Atakupa uwezo,
Hebu tulia mungu anakujali pia
Hizo shida usifikirie uko nazo pekee yako
Labda mungu anakuletea kesho
Huwezi jua kama leo siyo yako
Kwa hiyo, masikini usikonde
Labda kesho utapata
Mungu alipanga maisha kakaraka
Tunapanga naye anapanga
Shida za dunia ninakuambia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Rafiki yangu alikuja nyumbani
Kunielezea shida Fulani
Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini
Mke wake amemutoroka
Rafiki zake wanamcheka
Shida amepata nyingi amechoka
Dunia anajuta.
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia