作词 : Reuben Kigame Na Sifa Voices
作曲 : Reuben Kigame Na Sifa Voices
Baba Yetu -Reuben Kigame
Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori ndege wa angani
Sifa tele kwako bwana
Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
Tukiomba kwako baba sikio lako li wazi kwetu
Macho yako yatuona sisi watoto wako
Ulimtoa yesu mwana wako wa pekee
Alikufa msalabani sasa tuko huru
Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
Hoiye usifiwe hoiye milele bwana