《Bembeleza》专辑封面

歌词

Ritah

《Ritah》是Marlaw演唱的歌曲,收录于专辑《Bembeleza》,时长 4:23。以下为完整歌词。

Ooh Rita Rita

Ooh Rita Rita

Ooh Rita Rita

Ooh Rita oh no no no

Sauti inasikika Tega makini

Hujui nani inamwita eeee

Chozi lanitoka nitazamapo angani

Naona Sura ya Rita

Eeeeee

Ona mikono yangu mitupu

Imezoea kukushika we

Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe

Ooh Rita

Ooh Rita

Daily nakuwaza wee

Ooh Rita

Ooh Rita

Mimi nitanyamazaje

Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana

Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana

Ila we unajua ni yako familia

Damu yangu ya Bongo si ya Asia

Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa

Kumbuka ile mimba ndio iliyokufanya

Ukaja kwangu

Ulifukuzwa kwenu

Ulijifunguapo mtoto na wote mkaishi kwangu

Ukawachukiza kwenu

Na taarifa ikaja kwako wewe Rita

Uende Arusha nduguzo wanakwita

Ukani kiss kiss mimi na mtoto

Nikakukiss hey hey

Sauti inasikika Tega makini

Hujui nani inamwita

Eeee

Chozi lanitoka nitazamapo angani

Naona Sura ya Rita

Eeeeee

Ona mikono yangu mitupu

Imezoea kukushika we

Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe

Ooh Rita

Ooh Rita

Daily nakuwaza wee

Ooh Rita

Ooh Rita

Mimi nitanyamazaje

Ni tangu Arusha hadi

Iringa simu inaita napokea unalia

Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia

Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee

Mwanao analia

Ona mumeo ni bora ninywe pombe

Ila kwa penzi ukafosi kurudi

Piga simu mume wangu nakuja

Na maneno ya konda kwenye basi ulifika alikupa siti ukakaa

Ulipokaa ukakaa

Ile ile siku mi nimelelewa

Niko mi na mwanangu kumpokea mke wangu

Konda akasema si wewe

Ila tu mwili wako

Sauti inasikika Tega makini

Hujui nani inamwita

Eeeee

Chozi lanitoka nitazamapo angani

Naona Sura ya Rita

Eeeeee

Rita

Ona mikono yangu mitupu

Imezoea kukushika we

Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe

Ooh Rita

Ooh Rita

Daily nakuwaza wee

Rita

Ooh Rita

Ooh Rita

Mimi nitanyamazaje

Ooh Rita

Rita ahh

Oh Rita deoee

Na Marco Chali

Ndani ya MJ Records

This is true story to Marco

Rita

Rita

Rita

Aaah hata nyumbani kwangu haupo

在线收听

本站不提供音频,点击跳转到正版平台。

专辑《Bembeleza》曲目

  1. Bembeleza4:41
  2. Daima Na Milele5:16
  3. Ritah4:23

常见问题

《Ritah》是谁唱的?

Marlaw。

《Ritah》收录在哪张专辑?

收录于《Bembeleza》。

《Ritah》的歌词可以在哪里看?

就在本页,完整歌词已按段落展示。