《Manukato》是Fanuel Sedekia演唱的歌曲,收录于专辑《Manukato》,时长 6:10。以下为完整歌词。
Umeweka wimbo
Kinywani mwangu
Bwana niiiimbe
Sifa zaaako
Umeniumba
Ilinikuabudu
Nakwabudu
Nakwabudu
Wewe
Wewe
Wewe uketie juu
Ya vyote
Sifa hizi
Zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Wewe
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Wewe ni niko ambae
Ni niko
Milele ilopita
Na milele ijayo
Sioni cha kunishibisha
Moyo wangu
Badala ya kumwabudu
Mtakatifuuu
Wewe uketie juu
Ya vyote sifa hizi zifike
Kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Weweiyeiye
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Wwwwiye
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike
Kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Pekee yako wastahili
Wewe uketie juu
Ya vyote
Sifa hizi
Zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Manukato
Manukato manukato
Kama sadaka ya habeli
Manukato
Kama zaburi ya daudi
Manukato
Kama sadaka ya habeli
Manukato
Kama zaburi ya daudi
Manukato
Manukato
Manukato
Manukato
Manukato
Manukato
Manukato
Manukato
Manukato
Haleluya
Haleluya
Haleluya
Manukato
Haha
Nakupenda bwana
Wimbo ukawe
Manukato
在线收听
本站不提供音频,点击跳转到正版平台。
专辑《Manukato》曲目
- Manukato6:10
- Ni Neema5:19
- Nitaimba Halleluya6:24
- Njoo Roho Mtakatifu5:21
- Jina Yesu5:56
- Tutakwenda Na Wana Wetu6:51
- Nishike Mkono6:28
- Kwa Kuwa Umeokoka6:29
- Injili Ya Yesu5:54
- Jesus4:02
常见问题
《Manukato》是谁唱的?
Fanuel Sedekia。
《Manukato》收录在哪张专辑?
收录于《Manukato》。
《Manukato》的歌词可以在哪里看?
就在本页,完整歌词已按段落展示。