《Afro》是Orchestre Les Wanyika演唱的歌曲,收录于专辑《Nilipi La Ajabu》,时长 9:25。以下为完整歌词。
Afro afro mama oh oh
Mtoto wa sagana eeh mama
Salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipokee
Nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh
Popote walipo afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni
Nina wasiwasi mmh
Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho
Uliniahidi afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh
Mbona sikuoni mama
Afro mama eeh yao
Mtoto wa sagana eeh eeh
Kaa ukumbuke eeh
Penzi hugeuka eeh
Leo kwangu kesho kwako mama eeh
Utanikumbuka eeh
Nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh
Popote walipo afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni
Nina wasiwasi mmh
Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho
Uliniahidi afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh
Mbona sikuoni mama
Afro mama eeh yao
Mtoto wa sagana eeh eeh
Kaa ukumbuke eeh
Penzi hugeuka eeh
Leo kwangu kesho kwako mama eeh
Utanikumbuka eeh yao
Nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh
Popote walipo afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni
Nina wasiwasi mmh
Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho
Uliniahidi afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh
Mbona sikuoni mama
Afro mama eeh yao
Mtoto wa sagana eeh eeh
Kaa ukumbuke eeh
Penzi hugeuka eeh
Afro wa kirinyaga sagana eeh eeh
Usiniweke pembeni mama aah
Ingawa wako wengi wazuri mami
Lakini nimekuchagua wewe eeh
Tabia zako sawa na sura yako
Nimeridhika kuwa na wewe eeh
Sagana unipeleke mama ooh
Nikawaone wazazi wako mama
Na tz pia tufike mami
Ukawaone baba na mama eeh
Mengine mengi sisemi mama aah
Uamuzi nakuwachia wewe eeh
Mwisho nakuombea salama afro
Mpaka siku tutapoonana mami
Afro wa kirinyaga sagana eeh eeh
Usiniweke pembeni mama aah
Ingawa wako wengi wazuri mami
Lakini nimekuchagua wewe eeh
Tabia zako sawa na sura yako
Nimeridhika kuwa na wewe eeh
Sagana unipeleke mama ooh
Nikawaone wazazi wako mama
Na tz pia tufike mami
Ukawaone baba na mama eeh
Mengine mengi sisemi mama aah
Uamuzi nakuwachia wewe eeh
Mwisho nakuombea salama afro
Mpaka siku tutapoonana mami
Oh
Afro
I love you
Afro wa kirinyaga sagana eeh eeh
Usiniweke pembeni mama aah
Ingawa wako wengi wazuri mami
Lakini nimekuchagua wewe eeh
在线收听
本站不提供音频,点击跳转到正版平台。
专辑《Nilipi La Ajabu》曲目
- Afro9:25
- Mambo9:07
- Safari Sio Kifo9:14
- Ni Lipi La Ajabu8:54
常见问题
《Afro》是谁唱的?
Orchestre Les Wanyika。
《Afro》收录在哪张专辑?
收录于《Nilipi La Ajabu》。
《Afro》的歌词可以在哪里看?
就在本页,完整歌词已按段落展示。