Zigo Remix - A.Y/Diamond Platnumz
Written by:Ambwene Allen Yessayah
Picha linaanza nishadata
Picha linaanza nishawaka
Picha linaanza nishachanganyikiwa
Picha linaanza nishadaata
Ooh na na
Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
Nami sitamuacha
Kwa nyuma ananipa mineso
Moyoni ananipa mateso
Wa kishua ila mateendo ya ghetto
Mtamu na hapendi vya dezo
Nakulaa kwa macho
5 star gurl si mchezo
Ebu ooona
Ebu ooonaaa
Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
Nami sitamuacha
Simbaa ah ah
Na rangi flani ya kimanga
Lugha lafudhi ya kitanga
Usione akapita na khanga
Nyuma figisu majanga
Ana mwendo wa kungonya
Tena alivyoshona
Umbo kama katuini wa kuchora
Ah singida dodoma
Kitandani sodoma
Kiuno kama nyuki dondora
Maneno ya watu sumu yana hila
Wasije leta urefarii ka mpira
Chunga katu usije ukan'zira
Nikashikwa na uchizi yaani utaahira
Ruuuu
Mtoto yaani mukidi mukide
Mpaka ndani shikidi shikide
Hasa akilick d lick de
Ye ndo mama chibu d chibu deee
Yeeeah
Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
Nami sitamuacha
Too sexy too sexy ya man
A y bushee bushee di ya man
Mungu ameumba hapa yah man
Natamani nikaseme nae yah man
Too sexy too sexy ya man
Bushee bushee di ya man
Mungu ameumba hapa yah man
Natamani nikaseme nae yah man
Naamini amezaliwa ili mimi ni we naaye eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na mi eh
Mtoto yaani mukidi mukide
Mpaka ndani shikidi shikide
Hasa akilick d lick de
Ye ndo mama chibu d chibu deee
Naamini amezaliwa eh ili mimi ni we naaye eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na mi eh
Iwe iwe iwe
Iwe iwe hii ndoto
Mtamu mpaka utamu umepitiliza
Akikaa na wengine wana chukiza
She can lick d yah man
Ngoja niongeze bidii yah man
Ukute hili zali langu yah man
Nikapige masinemaree yah man
Sheya
Yessayaaaah
Nakula kwa macho
Kwa macho
Nakula kwa macho
Kwa macho
Nakula kwa macho
Kwa macho
Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
Nami sitamuacha